Na Grace Semfuko
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kuboresha sera yake ya 2003 sasa imeingia katika hatua ya kuandaa mkakati wa utekelezaji wa muda mrefu wa Sekta hiyo na Mshauri Elekezi, Profesa Samwel Wangwe yuko na wadau wa utalii nchini, jijini Dar es Salaam katika kutengeneza Mkakati wa Muda Mrefu utakaotumika katika sekta ya Utalii, lengo likiwa ni kuongeza ufanisi katika Sekta hiyo muhimu kwa pato la Taifa.
Wawakilishi wa Vyama 13 vinavyounda Shirikisho la Vyama vya Utalii Tanzania (TCT) wamekutana katika Hotel...
Read More