Na.Paschal Dotto-MAELEZO.
Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Angela Kairuki atakutana na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali waliowekeza Tanzania ili kujua changamoto zao na kuzifanyia kazi kwa haraka na kuimarisha mahusiano ya nchi hizo na Tanzania katika sekta ya Uwekezaji.
Akizungumza katika mazungumzo mafupi aliyoyafanya leo kwa wakati tafaouti Mabalozi kutoka nchi za Ufaransa, Uholonzi, Norway pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Marekani USAID, Waziri Kairuki alisema kuwa mazungumzo hayo ni chachu ya ushirikia...
Read More