[caption id="attachment_45818" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta kuu ya Uchukuzi, Mhandisi. Aron Kisaka akizungumza wakati wa kikao cha kujadiliana hatua zilizofikiwa katika mchakato wa kuanza matumizi ya mfumo wa kutathmini mchango wa Sekta ya Usafiri wa Anga katika ukuaji wa uchumi nchini. Kutoka kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Angaa (TCAA), Hamza Johari.[/ca...
Read More