[caption id="attachment_46342" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo katika Mkutano wake na Wasanii wa Sanaa mbalimbali kujadili mabadiliko ya Tasnia hiyo nchini, mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Dianarose Shirima-MAELEZO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amekutana na wadau wa Sanaa mbalimbali nchini katika kujadili maendeleo ya tasnia hiyo, ziki...
Read More