[caption id="attachment_50094" align="aligncenter" width="832"] Mawaziri wanaohusika na usimamizi wa Mradi wa umeme wa Rusumo (megawati 80), wakikagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya mradi huo Desemba 6, 2019. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nishati na Migodi (Burundi) Mhandisi Come Manirakiza, Waziri wa Nishati (Tanzania) Dkt Medard Kalemani na Waziri wa Miundombinu (Rwanda) Balozi Claver Gatete.[/caption]
Veronica Simba – Ngara
Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa maji (megawati 80) wa Rusumo, unaotekelezwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzani...
Read More