[caption id="attachment_49795" align="aligncenter" width="957"] Mkurgenzi wa Hospitali ya Mirembe na Taasisi ya Isanga, Dkt. Erasmus Mndeme akizungumza kuhusu mafanikio ya Taasisi anayoingoza ndani ya kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipotembelewa na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Afya) na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo leo jijini Dodoma. Ziara hiyo ni muendelezo wa Kampeni ya Tunaboresha Sekta ya Afya in...
Read More