Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba (kulia) akizungumza na Balozi wa Angola, Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati tarehe 25 Novemba, 2021 jijini Dar-es-salaam.
*Wajadili Maeneo ya Ushirikiano
Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira kwa lengo la kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Angola katika sekta ya nishati.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo Novemba, 25, 202...
Read More