Na, Projestus Binamungu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vilabu vyote 16 vya mchezo wa soka nchini kuhamasisha wachezaji wake, viongozi na mashabiki kupata chanjo dhidi ya Uviko 19 ili kulinda afya zao na kulinda afya za watanzania wengine.
Waziri Bashungwa ametoa rai hiyo jana Septemba 1, Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya mchezo wa kirafiki kati ya viongozi wa dini (Kamati ya Amani) na wachambuzi wa habari za michezo, mchezo uliopigwa katika...
Read More