Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (wa pili kushoto) akimpa maelezo Diwani wa Kata ya Majengo, Shufaa Ibrahim namna taka ngumu zinazosababisha uzibaji wa chemba za majitaka wakati wa ziara yake leo Machi 26, 2024 ya kutembelea kata hiyo na kujionea hali ya mazingira ilivyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira DUWASA, Mhandisi Bernard Rugayi.
Read More