[caption id="attachment_1348" align="alignnone" width="750"] Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohammed (kushoto) akimkabaribisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (kulia) wakati alipomtembelea Ofisini kwake mjini Unguja.[/caption]
Na Mwandishi wetu,
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohammed ameishauri Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) kuwekeza Zanzibar ili kuwainua kiuchumi wakulima na wavu...
Read More