[caption id="attachment_1954" align="aligncenter" width="358"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.[/caption]
Na. Eliphace Marwa.
Serikali imesema kuwa Tanzania bado haijafikiwa na ugonjwa hatari wa Ebola na kuwatoa hofu wananchi baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuikumba nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wananchi kutokuwa na hofu bal...
Read More