[caption id="attachment_3838" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Augustino Chacha akizungumza wakati akifungua mafunzo ya awamu ya pili yanayohusiana na Kanuni za Ukopeshaji katika Kilimo. Mafunzo hayo ya awamu ya pili yatafanyika kwa siku sita yanaendeshwa kwa pamoja kati ya TADB, NABAD na MIVARF.[/caption]
Na Saidi Mkabakuli- RS TADB.
Mabenki yameombwa kuwa tayari kukopesha mnyororo mzima wa sekta ya kilimo na mifugo ili kuunga mkono juhudi za Serika...
Read More