[caption id="attachment_4870" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri,mkoani Pwani.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na. Eliphace Marwa
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Masauni Hamad Masauni amekutana na vingozi waandamizi wa Jeshi la...
Read More