[caption id="attachment_8608" align="aligncenter" width="750"] Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari alipokuwa akifungua mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ujulikanao kama ‘planRep’. Mafunzo hayo yamefunguliwa leo Mkoani Morogoro.
[/caption]
[caption id="attachment_8606" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu ya TEHAMA – TAMISEMI, Baltazar Kibola akizungumza na wadau wa Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za...
Read More