Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amewataka viongozi na watumishi wa umma, kufuata na kuzingatia maadili ya utumishi ili kupunguza mianya ya rushwa ambayo imekuwa kikwazo kwa utoaji huduma bora kwa jamii.Waziri Mkuu ameyasema hayo leo novemba, 11, 2025 jijini Dodoma wakati wa kikao na viongozi na Watendaji wa Sekretarieti ya maadili kwa Viongozi wa Umma, Amesema bado kuna kazi kubwa ya kufanya kwenye masuala hayo ya usimamizi wa maadili ya utumishi wa umma.Amesema moja ya jambo ambalo Rais wa Jamhur...
Read More