Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa Laanza kwa Mafanikio
Mar 17, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51713" align="aligncenter" width="1000"] Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Bw. Sisty Nyahoza akifafanua jambo mbele ya viongozi wa Kitaifa wa Chama cha United Democratic Party (UDP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembela Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa UDP Taifa, John Momose Cheyo.[/caption] [caption id="attachment_51714" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na Ruzuku toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bi. Hollo Kazi akielezea jambo mbele ya viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wakulima Tanzania (AAFP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembela Makao Makuu ya chama hicho leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mipango wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Emmanuel Msengi.[/caption] [caption id="attachment_51715" align="aligncenter" width="1000"] Maafisa Kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakipitia nyaraka ya fedha za Chama cha Wakulima (AAFP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa lililoanza leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na Ruzuku, Bi. Hollo Kazi, Afisa Mipango wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Emmanuel na Mkaguzi wa Ndani Bw. Mussa Boma.[/caption] [caption id="attachment_51716" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na Ruzuku toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bi. Hollo Kazi (kulia) na Afisa Mipango wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Emmanuel Msengi wakipitia nyaraka za Chama cha Wakulima (AAFP) wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa lililoanza leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_51720" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu wa Chama cha Wakulima (AAFP), Bw. Rashid Rai akijibu hoja wakati wa zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa walipotembelewa na Maafisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dar es Salaam. Zoezi la uhakiki limeanza leo ambapo jumla ya vyama sita vimehakikiwa ambavyo ni AAFP, ADC, UMD, UDP, NLD na NRA. Viongozi wa chama cha AAFP wamevaa maski ikiwa ni tahadhari ya kuambukizwa ugonjwa wa Corona Virus.[/caption] [caption id="attachment_51717" align="aligncenter" width="1000"] Mhazini wa Chama cha Wakulima (AAFP), Bw. Ndonge Said Ndonge akitoa maelezo kuhusu namna wanavyo tunza taarifa zao za mapato namatumizi mbele ya Maafisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) walipofika katika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho kwa ajili ya zoezi la uhakiki lililoanza leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_51718" align="aligncenter" width="667"] ????????????????????????????????????[/caption] [caption id="attachment_51719" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa nje wa Ofisi za Vyama vya siasa vya AAFP na UDP.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi