Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Waziri Mkuu Nchini Misri katika Picha
Jul 10, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45134" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea picha ya Rais Magufuli iliyochorwa na binti wa dereva wa Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, Hadeer Mohamed, kwenye mkutano na Watanzania waishio nchini Misri, uliyofanyika katika hoteli ya Almasa, mjini Cairo, Julai 9.2019. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja Jenerali Mstaafu, Issa Suleiman.[/caption] [caption id="attachment_45135" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa ya ngozi wakati alipotembelea kiwanda kikubwa cha ngozi cha Robbiki, kilichopo katika mkoa wa Sharkia, nchini Misri,Julai 9.2019.[/caption] [caption id="attachment_45138" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya ngao kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri, Julai 9.2019.[/caption] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,Julai 9.2019. [caption id="attachment_45140" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,Julai 9.2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi