Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Mkoani Singida
Oct 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47579" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, Injinia Jumanne Werema, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba 4.2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. Waziri Mkuu yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne.[/caption] [caption id="attachment_47580" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, kwenye ukumbi wa Halmashairi wilayani hapo, Oktoba 4.2019.[/caption] [caption id="attachment_47581" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, kwenye ukumbi wa Halmashairi wilayani hapo, Oktoba 4.2019.[/caption] [caption id="attachment_47582" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho zilizotoka, kwenye mradi wa shamba la korosho la Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019. Kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Marry Majaliwa na kulia ni Meneja wa Kanda ya Kati, Bodi ya Korosho, Ray Mtangi.[/caption] [caption id="attachment_47583" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti wa korosho, kwenye mradi wa shamba la korosho la Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019.[/caption] [caption id="attachment_47584" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, Oktoba 4.2019.[/caption] [caption id="attachment_47585" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo hilo, Oktoba 4.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi