Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Oct 31, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023.
Na
Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023. Pembeni yake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Frank-Walter Steinmeier mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Frank-Walter Steinmeier mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier akiongoza ujumbe wa Nchi yake kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeongoza ujumbe wa Tanzania Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba, 2023.