Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Yaliyojiri Bungeni Leo Katika Picha
Feb 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40198" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi ya Assumption ya Arusha, Ritta Deo Moshi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Mtoto huyo na wenzake walikwenda bungeni kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge.[/caption] [caption id="attachment_40199" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Monica ya Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwalimu Mkuu wa shule Msaidizi, Sista Colletah.[/caption] [caption id="attachment_40200" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Monica ya Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwalimu Mkuu wa shule Msaidizi, Sista Colletah.[/caption] [caption id="attachment_40201" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Kilosa mkoani Morogoro kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40202" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40203" align="aligncenter" width="1000"] Mbunge wa zamani, Semindu Pawa akitambulishwa bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40204" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40205" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Vijana na Ajira), Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi