Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wizara ya Katiba Yaunga Mkono Kampeni ya Kuikijanisha Dodoma
Nov 15, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48940" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na wafanyakazi wa wizara hiyo kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48941" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw.Deogratias Yinza akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa wizara hiyo kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48942" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Amon Mpanju wakipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48943" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Amon Mpanju wakimwagilia maji mti walioupanda wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48944" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kushoto) akisaidiwa na mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bw. Novatus Igosha wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48945" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw.Deogratias Yinza (kushoto) akishiriki katika zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48946" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia) akitoa maelekezo kwa wafanyakaziwakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.[/caption] [caption id="attachment_48948" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katikazoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani. (Picha na Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi