Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwijage Ziarani Mkoani Geita
Jan 04, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26257" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akiwa katikla eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_26258" align="aligncenter" width="750"]  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akiwa katika eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_26259" align="aligncenter" width="750"]  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akikagua eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_26260" align="aligncenter" width="750"]  Mkurugenzi Idara ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Consolatha Ishebabi akizungumza katika eneo la mradi patakapojengwa (sheds) Chato Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_26261" align="aligncenter" width="750"]  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Prof. Sylvester Michael Mpanduji, akizungumza wakati wa kikao na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita.[/caption] [caption id="attachment_26262" align="aligncenter" width="750"]  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kufika katikla eneo litakalojengwa Viwanda Chato Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_26263" align="aligncenter" width="750"]  Wananchi wa Chato Mkoani Geita wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Hayupo pichani) wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Viwanda vidogo lenye ukubwa wa Ekari 20.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi