Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Aungana na Mashabiki wa Mpira Uwanja wa Jamhuri Morogoro
Oct 01, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_16314" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kulia) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro Mhe. Paschal Kihanga alipowasili katika uwanja wa mpira wa miguu wa Morogoro kuangalia mechi ya Ligi daraja ya pili kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_16315" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisalimiana na mchezaji kutoka timu ya Bukinafaso ya Morogoro kabla ya mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_16318" align="aligncenter" width="1000"] Wachezaji wa timu ya Ihefu kutoka Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_16319" align="aligncenter" width="1000"] Wachezaji wa timu ya Ihefu kutoka Mbeya pamoja na wachezaji wa timu ya Bukinafaso ya Morogoro wakionyesha umahiri wao uwanjani wakati wa mechi ya Ligi daraja la pili jana Mkoani Morogoro[/caption] [caption id="attachment_16324" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akifuatilia mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro. (Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi