Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Atembelea Eneo la Urithi wa Ukombozi Jijini Mwanza
May 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31746" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na msimamizi wa eneo lililotumiwa na Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kufanya vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.[/caption] [caption id="attachment_31747" align="aligncenter" width="993"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiangalia mti ujulikanao kwa jina la Mkuyu uliooteshwa kipindi cha harakati za ukombozi wa Bara la Afrika katika eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.[/caption] [caption id="attachment_31748" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na wasimamizi wa eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii. Kulia ni Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Bw. Yohana Jonas[/caption] [caption id="attachment_31749" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Jiji la Mwanza na wasimamiaji wa eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi