Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mwakyembe Afanya Mazungumzo na Amnesty International Kuhusu Sekta ya Habari
Mar 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41027" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Kushoto ) akizungumza leo ofisini kwake Jijini Dodoma na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki kuhusu Sekta ya Habari hususani Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.[/caption] [caption id="attachment_41029" align="aligncenter" width="800"] Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bw.Roland Ebole (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki[/caption]   [caption id="attachment_41028" align="aligncenter" width="800"] Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.[/caption]    

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi