Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Majaliwa Atembelea Kata Ya Mnacho Wilayani Ruangwa Kukagua Miradi ya Maendeleo
Nov 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38436" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu ujenzi wa bweni lenye uwezo wa kulaza wanafunzi 80 kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Mnacho wilayani Ruangwa, David Mwakalobo wakati alipokagua ujenzi wa bweni hilo Novemba 19, 2018 . Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandirwa[/caption] [caption id="attachment_38435" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa bweni lenye uwezo wa kulaza wanfunzi 80 katika shule ya Sekondari ya Mnacho wilayani Ruangwa, Novemba 19, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, David Mwakalobo.[/caption] [caption id="attachment_38434" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waganga na Wanguzi wa Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa kabla ya kukagua ujenzi wa majengo ya Zahanati hiyo Novemba 19, 2018.[/caption] [caption id="attachment_38431" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa chumba cha upasuaji katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa, Novemba 19, 2018. Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo, Abubakar Abbas Rugwa.[/caption] [caption id="attachment_38432" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia mtoto Hamza Abdulrazak aliyepelekwa na Mama yake Mzazi, Mariam Liwena (wapili kushoto) katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa kwa matibabu, Novemba 19, 2018. Watatu kushoto ni Ajira Mpoka na mwanae Naifat Arifa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi