Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ziarani Urusi
Oct 23, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48293" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48294" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Kampuni ya Sinara Transport Machinary kwenye hoteli ya Marriot, Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48295" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Alexander Misharin kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48296" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP, Alexsey Pankov (kushoto) na Ignat Dydyshko baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48297" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP, Alexsey Pankov (kuatikati) na Ignat Dydyshko kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48298" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP, Alexsey Pankov (kuatikati) na Ignat Dydyshko kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019.[/caption] [caption id="attachment_48299" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa kampuni ya kutengeneza matrekta ya BTP , Alexsey Pankov (kushoto) na Ignat Dydyshko baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya Marriot ya Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi.[/caption] [caption id="attachment_48301" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya ya Zarubezhnefe, Bw. Sergey Kundryashov kwenye hoteli ya Marriot iliyopo Sochi nchini Urusi, Oktoba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi