Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Atembelea Kiwanda cha kuchambulia Pamba cha Biosustain
Oct 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47717" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.[/caption] [caption id="attachment_47718" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.[/caption] [caption id="attachment_47719" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mbegu za pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Dkt. Riyaz Haider.[/caption] [caption id="attachment_47720" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mtego wa molasis, wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Dkt. Riyaz Haider.[/caption] [caption id="attachment_47721" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa zawadi ya cheti, fedha,na baiskeli, mkulima wa zao la pamba kutoka Ikungi, Juma Shabani, wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019.[/caption] [caption id="attachment_47722" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi