Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika
Aug 26, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_10450" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na na mwenyeji wake ambaye ni Mkurugenzi wa Maswala ya Afrika nchini Cuba, Balozi Jose Prieta Cintado wakiangalia Sanamu ya aliyekuwa Raisi wa Msumbiji Hayati Samora Masheli ambayo ipo katika Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika yaliopo Havana Cuba jana.[/caption] [caption id="attachment_10453" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mke wake Mama Mary Majaliwa wakiweka Shada la Maua katika Makumbusho ya Mashujaa wa Afrika yaliyopo Havana Cuba jana. Katika yao ni Mkurugenzi wa Maswala ya Afrika nchini Cuba, Balozi Jose Prieta Cintado. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi