Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika picha Bungeni.
Nov 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_22724" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 16, 2017. [/caption] [caption id="attachment_22723" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni mjini Dodoma Novemba 16, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22727" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22728" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lento la kujifunza Novemba 16, 2017. [/caption] [caption id="attachment_22729" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017. [/caption] [caption id="attachment_22730" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22731" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi