Waziri Mkuu Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Akagua Ujenzi wa Jengo la Utawala
May 24, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashari ya Jiji la Arusha kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 24, 2022.
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Arusha (AICC) jijini Arusha Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima (kushoto) kuhusu ujenzi wa jengo la utawala la Hamashauri ya jiji hilo, jijini Arusha, Mei 24, 2022.