Waziri Mkuu Azungumza na Baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa
Oct 03, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz.
Baadhi ya washiriki wa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023.