Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Awataka Viongozi Wabadilike Kimtazamo
Aug 13, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34178" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, akizungumza na washiriki, kwenye ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, Agosti 13.2018[/caption] [caption id="attachment_34179" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza na washiriki, kwenye ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018[/caption] [caption id="attachment_34181" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_34182" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_34183" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya tai, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, baada ya kufungua kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018[/caption] [caption id="attachment_34184" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya peni, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, baada ya kufungua kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018[/caption] [caption id="attachment_34185" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018[/caption] [caption id="attachment_34186" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, baada ya ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Agosti 13.2018, katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula.[/caption] [caption id="attachment_34187" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo, baada ya ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Agosti 13.2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi