Waziri Mkuu Atembelea Maeneo Yaliyoathirika kwa Mafuriko, Atoa Heshima za Mwisho kwa Waliofariki
Dec 04, 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika Kijiji cha Gendabi wilayani Hanang, Desemba 4, 2023.
Na
Mwandishi Wetu
Muonekano wa eneo la Katesh ambalo baadhi ya mitaa imejaa tope. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitemblea eneo hilo Disemba 4, 2023Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho Desemba 04, 2023 kwa miili ya watu waliofariki dunia katika maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo la Katesh mkoani Manyara