Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Ashiriki Ibada ya Mazishi ya Kaka Yake
Mar 13, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41271" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kumsalia marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019 katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 13.2019[/caption] [caption id="attachment_41272" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019, ambaye amezikwa machi 13.3.2019 katika makaburi ya familia, Nandagala Wilayani Ruangwa.[/caption] [caption id="attachment_41273" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa mkono wa pole wa marehemu kaka yake Mzee Said Majaliwa aliyefariki Machi 12, 2019 na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa, kijijini kwake Nandagala Wilayani Ruangwa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi