Waziri Mkuu Akutana na Viongozi wa Japan Tobacco International (JTI)
Sep 26, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake kwenye kikao kilichofanyika katika ofisi za Japan Tobacco International (JTI) zilizopo Kamiacho jijini Tokyo Japan, Septemba 26. 2022. Kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Bw. Takashi Araki, Mwenyekiti wa Bodi ya JTI, Bw. Mutsuo Iwai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi aliyoambatana nao na viongozi wa Japan Tobacco International (JTI) baada ya kikao kilichofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26. 2022.