Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Akutana na Mtoto Aliyeshinda Tuzo Uingereza
Jul 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5422" align="aligncenter" width="750"] Samuel Mwanyika (19) akiwa ameshika Tuzo wakati anatambulishwa kwa Wabunge Mjini Dodoma. Samuel alishinda Tuzo ya Stephen Thomas Iliyotolewa Na Taasisi ya Kimataifa ya watu wenye mtindio wa ubongo ya Uingereza baada ya kutuma picha ya Pundamilia wawili wakiota jua kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. watoto kutoka nchi 18 walishiriki shindano la picha kwa Mwaka 2017. (Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]   [caption id="attachment_5414" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Samuel Mwanyika (wa pili kushoto), mshindi wa Tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya watu wenye mtindio wa ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Wa kwanza Kushoto ni Elias Mwanyika (kaka yake Samuel) akiwa na picha iliyoshinda Tuzo hiyo na wa kwanza kulia ni Sophie Mshangama ambaye ni mama yake Samuel.[/caption] [caption id="attachment_5416" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Samuel Mwanyika, mshindi wa tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa na Taasisi ya kimataifa ya watu wenye mtindio wa ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Katikati ni mama wa mtoto huyo Sophie Mshangama.[/caption] [caption id="attachment_5419" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Sophie Mshangama ambaye ni mama yake Samuel Mwanyika aliyeshinda Tuzo ya Stephen Thomas iliyotolewa Juni 8, 2017 na Taasisi ya Kimataifa ya Watu Wenye Mtindio wa ubongo (Down's Syndrome Association) ya Uingereza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Katikati ni mama ma mtoto huyo..[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi