Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Amref Health Africa, Dkt. Githinji Gitahi (wa pili kushoto) baada ya mazungumzo yao jijini New York, Marekani Septemba 29, 2024. Wengine ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel (wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu (kulia) na Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa