Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afungua Maonesho ya Viwanda na Kongamano la Uwekezaji Mkoani Ruvuma
Jul 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_45786" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, akiangalia na vikundi vya ngoma, kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.[/caption] [caption id="attachment_45787" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Mbinga Coffee Curing Company, kabla ya kufungua maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.[/caption] [caption id="attachment_45788" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amebeba mkaa wa mawe, wakati akikagua mabanda kwenye banda la TANCOAL, katika maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019. Tokea kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme na kulia ni Mkuu wa Jiolojia TANCOAL.[/caption] [caption id="attachment_45789" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mkaa wa mawe, uliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na wajasiriamali wa kikundi cha Mbalawala Women Group, wakati akikagua mabanda kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019. Tokea kulia ni Meneja wa Fedha wa kikundi hicho, Esta Silas na Msimamizi wa Mradi, Hajra Yakub.[/caption]   [caption id="attachment_45791" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kufungua maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma, Julai 25.2019.[/caption] [caption id="attachment_45792" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua kitabu cha muongozo wa uwekezaji katika Mkoa wa Ruvuma, kwenye maonesho ya viwanda na kongamano la uwekezaji mkoani Ruvuma. Julai 25.2019. Tokea kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje John Ndumbalo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi