Waziri Mkuu Afungua Mafunzo kwa Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri
Jun 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mafunzo kwa Waheshimiwa Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri nchini kwenye ukumbi wa Mabeyo Complex jijini Dodoma, Juni 28, 2022.