Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mhagama Akutana na Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship
Oct 25, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37386" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipomtembelea hii leo Oktoba 25, 2018 Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37387" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), Richard Hong (wa pili kutoka kulia) akimweleze jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kuhusiana na asasi hiyo inavyotoa elimu ya ufahamu kwa vijana wa Tanzania.[/caption] [caption id="attachment_37388" align="aligncenter" width="953"] Mchungaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), Bang akimwelezea jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kuhusu mafunzo wanayotoa ya kuwajengea uwezo vijana.[/caption] [caption id="attachment_37389" align="aligncenter" width="768"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto) akiagana na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, Oktoba 25, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37390" align="aligncenter" width="629"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipo mtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, leo Oktoba 25, 2018. (Kushoto) ni Mwenyekiti Mshauri wa Asasi hiyo Mch. Richard Hong, (Kulia) ni Katibu wa International Youth Fellowship (IYF), Mch. Levin Mwakidedi na Mch. Bang. (Picha Zote na: Ofisi Ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira Na Wenye Ulemavu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi