Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Makamba Azindua Kamati ya Taifa ya Ushauri wa Mazingira
Dec 19, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25258" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kikao hicho kinajumuisha wakumbe kutoka sekta mbalimbali. Wengine katika picha ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo.[/caption] [caption id="attachment_25259" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kikao hicho kinajumuisha wakumbe kutoka sekta mbalimbali. Wengine katika picha ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo.[/caption] [caption id="attachment_25260" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akimkabidhi vitendea kazi mmoja ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Bw. Richard Muyungi Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira[/caption] [caption id="attachment_25260" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akimkabidhi vitendea kazi mmoja ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Bw. Richard Muyungi Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira[/caption] [caption id="attachment_25261" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira mara baada ya ufunguzi uliofanyika katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. (Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - OMR)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi