[caption id="attachment_6609" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Bw. George Daniel Yambesi (kulia) alipoitambulisha rasmi Bodi hiyo jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_6613" align="aligncenter" width="800"]
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa Bodi ya ushauri ya Taasisi ya Sanaa na UtamaduniBagamoyo (TaSUBa).[/caption]
[caption id="attachment_6614" align="aligncenter" width="800"]
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa Bodi ya ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). (Picha na: Lorietha Laurence-WHUSM).[/caption]