Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Watumishi Tume ya Utumishi wa Walimu Wapigwa Msasa Matumizi ya TEHAMA.
Oct 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_18445" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Tume ya Utumishi wa Walimu Bi Devotha Gabriel akiwasilisha mada kuhusu matumizi bora ya TEHAMA na vifaa vyake kwa watumishi wa Tume hiyo Manispaa ya Dodoma mapema leo kabla ya kuwaunganisha katika mfumo rasmi wa mawasiliano ya Serikali kwa njia ya mtandao.

[/caption] [caption id="attachment_18451" align="aligncenter" width="750"] Afisa Utumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu Manispaa ya Dodoma Bw. Jastin Lwilla akimuonesha Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Tume hiyo Bi Devotha Gabriel sehemu ya vifaa vya TEHAMA vinavyotumika katika ofisi hiyo katika kutoa huduma.
[/caption] [caption id="attachment_18454" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Katibu wa Tume hiyo Manispaa ya Dodoma Bi Leticia Mwakasitu (kushoto) akifuatilia mada kuhusu matumizi sahihi ya TEHAMA iliyowasilishwa na Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Tume ya Utumishi wa Walimu Bi Devotha Gabriel, kulia ni Afisa utumishi wa Tume hiyo Manispaa ya Dodoma Bw. Jastin Lwilla.
[/caption] [caption id="attachment_18457" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Tume ya Utumishi wa Walimu Bi Devotha Gabriel (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Tume hiyo Manispaa ya Dodoma mapema leo wakati wa ziara yake. (Picha zote na Frank Mvungi- Dodoma)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi