Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUISAIDIA TIMU YA SERENGETI BOYS
Apr 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_517" align="aligncenter" width="554"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.[/caption] [caption id="attachment_521" align="aligncenter" width="630"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania Kassim Majaliwa na Rais wa TFF Jamal Malinzi, na Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.[/caption]

[caption id="attachment_523" align="aligncenter" width="568"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya Mpira wa miguu kutoka kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.[/caption] [caption id="attachment_526" align="aligncenter" width="630"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania Kassim Majaliwa akimpongeza Makamu wa Rais wa Simba SC Geofrey Nyange Kaburu mara baada ya kununua picha ya Timu ya Serengeti Boys, wakati wa hafla ya kuchangia timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.[/caption] [caption id="attachment_529" align="aligncenter" width="630"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya MUUNGANO WA Tanzania Kassim Majaliwa akipeana mkono na Balozi Mdogo wa Mauritius Syed Abbas Rizvi wakati wa hafla ya kuchangia timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na TFF kupitia Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.[/caption] [caption id="attachment_532" align="aligncenter" width="575"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akimpongeza Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangwe Blog, John Bukuku mara baada ya kuchangia shilingi laki mbili wakati wa hafla ya kuchangia timu ya hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Omary Singo.[/caption] [caption id="attachment_535" align="aligncenter" width="630"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akiweka saini katika mpira amabo umenunuliwa na aliyewahi kuwa Miss Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys, Bi. Hoyce Temu wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.[/caption] [caption id="attachment_538" align="aligncenter" width="630"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akimpongeza aliyewahi kuwa Miss Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys, Bi. Hoyce Temu mara baada ya kumkabidhi mpira alioununua wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon. Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.[/caption] [caption id="attachment_541" align="aligncenter" width="579"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akimpongeza Afisa Masoko wa Benki ya DTB, Baguma Ambary baada ya kuchangia Serengeti Boys wakati wa hafla ya kuchangia timu hiyo jana Jijini Dar es Salaam. DTB benki ndiyo benki rasmi ya TFF ambapo pia Akaunti maalum ya kuchangia Serengeti Boys imefunguliwa.Kutoka kushoto ni Rais wa TFF Jamal Malinzi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary.[/caption] [caption id="attachment_544" align="aligncenter" width="499"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa, Mzee Manara wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.[/caption] [caption id="attachment_547" align="aligncenter" width="630"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Serengeti Boys Charles Hillary (kushoto) wakati wa hafla ya kuchangia timu ya Serengeti Boys jana Jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo iliandaliwa na kwa lengo la kuchangia fedha za kugharamia mahitaji ya timu hiyo inayoshiriki Kombe la AFCON U17 nchini Gabon.Kulia ni Rais wa TFF Jamal Malinzi.
Picha zote na: Frank Shija[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi