Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wafanyakazi wa JKCI Waagana na Madaktari Bingwa wa Moyo Kutoka China
Sep 04, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_11856" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka China Sun Long wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_11857" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka China Qu Xianfeng wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_11860" align="aligncenter" width="750"] Madaktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka China wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge mara baada ya kuwakabidhi zawadi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_11861" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa chumba cha wagonjwa walioko katika uangalizi maalum (ICU) kutoka China Xie Weifeng wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_11866" align="aligncenter" width="750"] Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka China Qu Xianfeng (hayupo pichani) wakati akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo. (Picha na JKCI)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi