![]() |
Ofisa misitu Mkuu Kitengo cha Nishati Mbadala, Paul Kiwele akiongea wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. |
![]() |
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania, Mhandisi Kato Kabaka akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya wadau wa Jotoardhi iliyofanyika Dar es Salaam leo. |
![]() |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha hiyo. |
![]() |
Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. |
![]() |
Washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali. |