Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Jiepusheni na Rushwa-Majaliwa
May 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_32056" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa, Makame Mbarawa mashine 10 za kufyatua matofali alizokabidhiwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kabla ya kufungua semina ya Bodi hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018. Mashine hizo zitagawiwa bure kwa vikundi vinavyojishugulisha na ufyatuaji matofali. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge na wanne kuil ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Joseph Nyamhanga.[/caption] [caption id="attachment_32057" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Locks and Systems Limited ya Dar es salaam, Linda Mwamukonda kuhusu vitasa, bawaba na milango ya kielektroniki wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho yaliyoandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kwenye viwanja vya Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_32058" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_32059" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua semina hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_32060" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_32061" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea ngao ya shukurani kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, Dkt. Ludigija Boniface Bulamile baada ya kufungua semina Endelevu ya 29 ya Bodi hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018.[/caption] [caption id="attachment_32063" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi walioshiriki katika Semina Endelevu ya 29 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi baada ya kufungua semina hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018. Kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa, Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi, Joseph Nyamhanga na Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Dkt. Ludigija Boniface Butamile.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi