Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Uzinduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia
Nov 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37864" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37865" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018, kutoka kushoto ni Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa, Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson.[/caption] [caption id="attachment_37866" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa baada ya kuzindua mkakati huo, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018, katikati ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi