Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Urejeshaji Hali Hanang’ Waendelea
Dec 11, 2023
Urejeshaji Hali Hanang’ Waendelea
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama akiongoza zoezi la ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’ mkoani Manyara
Na Mwandishi Wetu

Wananchi wapokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko ya mawe na matope kutoka mlima Hanang kwa kushrikiana na serikali. Uratibu wa zoezi hilo unaenda sanjari na ugawaji wa vifaa vya msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maafa hayo.

Hatua hiyo inaenda sambamba na hali ya urejeshaji hali katika Mji wa Katesh, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, huku shughuli ya uondoaji wa tope katika barabara na mitaa ya Mji wa katesh ikiendelea.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi